Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Leo tarehe 15/9/2020, nitahutubia wakazi wa Arusha stendi ya Hiace Kilombero Sokoni. Mkutano ni saa nane mchana. Hakuna muziki wala nauli na unapaswa kufika bila kukosa. Karibuni wote.