Uchaguzi 2020 Lema kuhutubia stendi ya hiace Kilombero Arusha Leo!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Leo tarehe 15/9/2020, nitahutubia wakazi wa Arusha stendi ya Hiace Kilombero Sokoni. Mkutano ni saa nane mchana. Hakuna muziki wala nauli na unapaswa kufika bila kukosa. Karibuni wote.

 
Huyu dogo bhana sasa kama kaamua kwenda kupiga porojo stendi nauli ya nini? kweli ''ukiona kenge anatoa damu masikioni ujue anakufa''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…