Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Lema anaonekana alikuwa chalii sana. Ilikuwa mwaka gani hii? 2010?
Wacha wakajipigie Hela.
Hahaha yaweza kuwa kweli, ila picha ya kitambo.Haiwezekani
Lema akihamia ccm basi mimi najiunga na chadema nipewe kadi kabisa na nitakuwa mstari wa mbele kindakindaki.Hahaha yaweza kuwa kweli, ila picha ya kitambo.
Gharika la moyo sio 🤣
Watu kwa uzushi,hata shetani anashangaa!
Picha hii ilichukuliwa Wassira akiwa bado kijana 🔥!
Hilo koti la Lema ni kati ya vitu ambavyo Mbowe alikuwa anampatia lakini sasa Lema ameshasahau kabisa alikotoka na kuishia kumkosea Mbowe heshima.
Hata babu alikuwa hajapata nywele za sembe wala usingizi bungeni 😁Hapa Lema anaonekana alikuwa chalii sana. Ilikuwa mwaka gani hii? 2010?
Umeacha kumshauri Mbowe tena?
Na Lucas kutoka DodomaNi suala la muda tu, mambo yote yako tayari. Ni mtikisiko mkubwa.