Tetesi: Lema kutikisa Dodoma leo tarehe 19/01/2025, Amfuata Msigwa

Chadema siyo chama, ni saccos ya Mbowe. Hivo muacheni Lema ajiunge na chama.
 
Hapa Lema anaonekana alikuwa chalii sana. Ilikuwa mwaka gani hii? 2010?
Hata babu alikuwa hajapata nywele za sembe wala usingizi bungeni 😁

Mue mnakagua kwanza picha kabla ya kupost, picha za kitambo mpeleke maktaba
 
Lema: "...Kinachoniuma mimi siyo Msigwa kuondoka CHADEMA, kinachoniuma sana ni Msigwa kwenda CCM..."
Alisikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…