MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Siasa za Arusha ni tofauti kidogo.
Lema hampendi Makonda, Makonda hampendi Gambo, Gambo hampendi Lema, Lema hawapendi hao wote wawili. Makonda anawachukia wote, Gambo anawachukia pia yaani ni vurugu ile balaa.
Wote wanapenda mitandao na attention.
Halafu ilivyo bahati mbaya wote wamejikuta wapo Arusha. Ebu fikiria kipindi hiki na Lema angekuwa yuko kwenye game labda hata Meya,mambo yangechangamka sana.
Siku moja inabidi wafungiwe chumba wapewe na gloves za bonding wamalize tofauti zao.
Sema Gambo na wewe ulikaa kinyonge sana, ulitakiwa urushe hata ngumi, sio unameza tu mate. Kamati ya maadili ingeelewa.