MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
AseeSiasa za Arusha ni tofauti kidogo.
Lema hampendi Makonda, Makonda hampendi Gambo, Gambo hampendi Lema, Lema hawapendi hao wote wawili. Makonda anawachukia wote, Gambo anawachukia pia yaani ni vurugu ile balaa.
Wote wanapenda mitandao na attention.
Halafu ilivyo bahati mbaya wote wamejikuta wapo Arusha. Ebu fikiria kipindi hiki na Lema angekuwa yuko kwenye game labda hata Meya,mambo yangechangamka sana.
Siku moja inabidi wafungiwe chumba wapewe na gloves za bonding wamalize tofauti zao.
Sema Gambo na wewe ulikaa kinyonge sana, ulitakiwa urushe hata ngumi, sio unameza tu mate. Kamati ya maadili ingeelewa.
Hivi ipi ni rahisi kutengeneza pair kati yaSiasa za Arusha ni tofauti kidogo.
Lema hampendi Makonda, Makonda hampendi Gambo, Gambo hampendi Lema, Lema hawapendi hao wote wawili. Makonda anawachukia wote, Gambo anawachukia pia yaani ni vurugu ile balaa.
Wote wanapenda mitandao na attention.
Halafu ilivyo bahati mbaya wote wamejikuta wapo Arusha. Ebu fikiria kipindi hiki na Lema angekuwa yuko kwenye game labda hata Meya,mambo yangechangamka sana.
Siku moja inabidi wafungiwe chumba wapewe na gloves za bonding wamalize tofauti zao.
Sema Gambo na wewe ulikaa kinyonge sana, ulitakiwa urushe hata ngumi, sio unameza tu mate. Kamati ya maadili ingeelewa.
inaonesha Jiji la Arusha Kutamu sanaSiasa za Arusha ni tofauti kidogo.
Lema hampendi Makonda, Makonda hampendi Gambo, Gambo hampendi Lema, Lema hawapendi hao wote wawili. Makonda anawachukia wote, Gambo anawachukia pia yaani ni vurugu ile balaa.
Wote wanapenda mitandao na attention.
Halafu ilivyo bahati mbaya wote wamejikuta wapo Arusha. Ebu fikiria kipindi hiki na Lema angekuwa yuko kwenye game labda hata Meya,mambo yangechangamka sana.
Siku moja inabidi wafungiwe chumba wapewe na gloves za bonding wamalize tofauti zao.
Sema Gambo na wewe ulikaa kinyonge sana, ulitakiwa urushe hata ngumi, sio unameza tu mate. Kamati ya maadili ingeelewa.
Sioni hata moja hapoHivi ipi ni rahisi kutengeneza pair kati ya
- Lema na Makonda
- Lema na Gambo
- Gambo na Makonda
hamna chuki apo wote wanaza hela .....watoeni mishahara muone kama watagombanachuki au wanapambania matumbo yao mkuu wote hao wachumia tumbo tu.........kama wengekua na nia ya dhati kutumikia wananchi/lengo mama au moya kusingekua na hizi drama za utoto
Mbona keshajitokeza kwenye media kujibu mapigo, je huko ndiyo kukaa kimya?Uongozi ni Jalalq ile kitendo cha Gambo Kukaa Kimya ni ishara tosha kuwa amepata Ukomqvu wa kisiasa
Gambo tangu alipofiwa na mama yake amebadilika kidogo.Uongozi ni Jalalq ile kitendo cha Gambo Kukaa Kimya ni ishara tosha kuwa amepata Ukomqvu wa kisiasa
Angeweza Kujibu Pale pale jana ila aliona Ni busara sana Kukaa kimya PaleMbona keshajitokeza kwenye media kujibu mapigo, je huko ndiyo kukaa kimya?