tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Hata yye pia anajidharirishaMange ni mwanaharakati sio Kiongozi wa CHADEMA, anawezaje kukigawa chama. Mbona Lema ni kama anataka kukidharilisha chama?
Kweli kabisa. Mange Hana mamlaka ya kiuongozi, Sasa kauli za mange hazina binding powers kwa CHADEMA.Hata yye pia anajidharirisha
Hata yye pia anajidharirisha
Sikutegemea kama Lema ni mpuuzi hivi, unaitisha press kumjibu mtu ambaye sio mwanachama?!Mange ni mwanaharakati sio Kiongozi wa CHADEMA, anawezaje kukigawa chama. Mbona Lema ni kama anataka kukidharilisha chama?
Hataki kuongelea katiba maaana kasema haiwezi leta mabadilikoManeno ya mkosaji huwezi kujua kwamba anajitetea, analaumu au anatoa taarifa
Amesemaje kuhusu katiba mpya na kauli mbiu ya NRNE
Lema anaitisha press kumjibu Mange, hii ni maajabu ...Mange ni mwanaharakati sio Kiongozi wa CHADEMA, anawezaje kukigawa chama. Mbona Lema ni kama anataka kukidharilisha chama?
Wanachama Ndio mnakidhalilisha Chama kukubali Chama Chenu kuendeshwa na kamange kimambi...Mange ni mwanaharakati sio Kiongozi wa CHADEMA, anawezaje kukigawa chama. Mbona Lema ni kama anataka kukidharilisha chama?
Hazina binding power lakini zinaheshimika,zinafanyiwa kazi na kukubalika..SIJUI KAMA ILI MNALIJUAKweli kabisa. Mange Hana mamlaka ya kiuongozi, Sasa kauli za mange hazina binding powers kwa CHADEMA.
Nani husema Fulani chadema amelamba asali?Mange ni mwanaharakati sio Kiongozi wa CHADEMA, anawezaje kukigawa chama. Mbona Lema ni kama anataka kukidharilisha chama?
Inashangaza kuona mjumbe wa kamati kuu ya chama anamlalamikia mwanaharakati ambaye siyo mwanachama wala kiongozi ndani ya chama.Mange ni mwanaharakati sio Kiongozi wa CHADEMA, anawezaje kukigawa chama. Mbona Lema ni kama anataka kukidharilisha chama?