Lema na Joshua Nassari wamefanya kosa kisheria kupiga picha na mwanajeshi?

Lema na Joshua Nassari wamefanya kosa kisheria kupiga picha na mwanajeshi?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wadau na wanasheria tunaomba ufafanuzi iwapo wabunge hawa wa chadema wamefanya kosa kisheria kupiga picha na yule askari kwenye mkutano wa kisiasa.

Hivi kama yule mwanajeshi alifanya vile kwa hiari yake mh.Lema na Nassari watakuwa na cha kuhojiwa?

Wataalam wa sheria mtusaidie.
 
wangekuwa na kosa kama wangeingia eneo la jeshi na kupiga picha.pale ni mkutano wa kisiasa na ulikuwa halali na kama kuna kosa wa kuhojiwa ni mjeda.
 
kila mtu na anavopenda katika maisha yake huyo mwanajeshi kupiga picha na hao wabuge labda mwenyewe alipenda tu pengine anawahusudu katika maswala ya siasa kumbuka mwanajeshi nae ni raia wa nchi hii
 
kupiga picha na kiongozi wa kisiasa haimaniishi kuwa wewe ni mwanachama wa chama hicho, inawezekana unamhusudu kutokana na kazi yake na si vinginevyo!
 
kwa upande wa chadema hakuna kosa hapo, kasheshe analo huyo mwanajeshi kwakua wenyewe ndio wanakula kiapo kutoshabikia vyama vya siasa wala makundi yakidini
 
wanajesh wanaruhucwa kupga kura kama ilvohak ya kila mtanzania kupiga kura....ila tu hawaruhusiwi kujihusisha na shughuli za kisiasa ikiwemo kujiunga na vyama vya siasa

kupiga kura sio kujishughulisha na siasa? maana huyo unayempigia kura ni mwanasiasa.
Tafsiri ya kujishughulisha na siasa ni ipi?
kupiga picha na mwanasiasa, ni kujishughulisha na siasa?
Na je angepanada jukwaani amwage sera mngesema anajishughulisha na nini?
 
wawasake kwanya akini mwamnyange ambao wana kadi za ccm kwenye mifuko ya nyuma ya salawiri zao ndipo wataona kibanzi kwenye jicho la huyo askari
 
kupiga kura sio kujishughulisha na siasa? maana huyo unayempigia kura ni mwanasiasa. Tafsiri ya kujishughulisha na siasa ni ipi? kupiga picha na mwanasiasa, ni kujishughulisha na siasa? Na je angepanada jukwaani amwage sera mngesema anajishughulisha na nini?



hapo mkuu ni mkanganyiko mtupu

:confused2:
:confused2:









:confused2:


:confused2:


:confused2:
 
wawasake kwanya akini mwamnyange ambao wana kadi za ccm kwenye mifuko ya nyuma ya salawiri zao ndipo wataona kibanzi kwenye jicho la huyo askari

hahahaha mkuu unahasiràaa ila yule jeda lazimaàshikishwe adabu alifuata nini pale? kama anapenda siasa avue gwanda zile alaah
 
Back
Top Bottom