Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hivi kwani wanajeshi huwa hawapigi kura?
wanajesh wanaruhucwa kupga kura kama ilvohak ya kila mtanzania kupiga kura....ila tu hawaruhusiwi kujihusisha na shughuli za kisiasa ikiwemo kujiunga na vyama vya siasa
kupiga kura sio kujishughulisha na siasa? maana huyo unayempigia kura ni mwanasiasa. Tafsiri ya kujishughulisha na siasa ni ipi? kupiga picha na mwanasiasa, ni kujishughulisha na siasa? Na je angepanada jukwaani amwage sera mngesema anajishughulisha na nini?
wawasake kwanya akini mwamnyange ambao wana kadi za ccm kwenye mifuko ya nyuma ya salawiri zao ndipo wataona kibanzi kwenye jicho la huyo askari