Ni mbunge wa Arusha mjini yupo chuo cha uhasibu Arusha akijaribu kuwatuliza wanafunzi wasifanye fujo baada ya mwanafunzi mwenzao kuchomwa visu jana hadi kufa wakati akitoka kujisomea usiku saa tatu.Tayari mkuu wa mkoa ameshawasili na amesema awezi kuuongea bila kipaza sauti wala awezi kuongea na watovu wa nidhami akaondoka zake.