Labda awe machine ya kuchakata upuuzi kama huo wako uliouweka, kakutuma nini uje kumsemea humu jf asubuhi asubuhi? Mchumia tumbo yule mwaka huu imekula kwake
Huyo si ndo Lema ambaye juzijuzi to kaanzisha bifu na makamanda wake Arusha??au sio yeye huyo ambaye aliandikwa anang'ang'ania jimbo la Arusha kutokana na kupingwa!