Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 May 9, 2025 #1 Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Taifa Godbless Lema akiongea na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara yao ya No reforms No Election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Nyie wananchi ndiyo mnafanya maisha ya nchi hii yanakuwa magumu. Aidha mama kama mume wako anasikilizia mikutano hii nyuma ya kanisa kwa kumuogopa OCD, Mtendaji ukirudi nyumbani mpe kanga Your browser is not able to display this video.
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Taifa Godbless Lema akiongea na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara yao ya No reforms No Election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Nyie wananchi ndiyo mnafanya maisha ya nchi hii yanakuwa magumu. Aidha mama kama mume wako anasikilizia mikutano hii nyuma ya kanisa kwa kumuogopa OCD, Mtendaji ukirudi nyumbani mpe kanga Your browser is not able to display this video.