Pre GE2025 Lema: Vijana wa CHADEMA wamekamatwa mkoani Iringa wakiwa safarini kuelekea Mbeya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bongo hakuna Gen Z, waliopo bongo wote akili na vision zao ni za wastaafu
 
wakapumzike sasa walikuwa hawana kazi za kufanya, huu ni muda wa maendeleo kwa Taifa na hatuna muda wa maandamano. Ila nawakumbusha tu kwamba kamanda mbowe na lisu walishindwa hiyo kazi
 
Inawezekana hao polisi wanataka kuwapa lifti hao vijana ili wapite njia ya mkato kutokea Katavi.Wema wao ni wa kupigiwa mfano.
 
Nao walijulikanaje kuwa ni CHADEMA ? Vitu vingine tuwe tunatumia akili tu
Ukiishi na kipofu usimshike mkono !
 
Huyu Mama hana tofauti na Dikteta Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ