MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
In his two room apartment,Le mbabazz aliamua kumpa mkali Neyo chumba kimoja kama zawadi baada ya kufanya shoo kali ccm kirumba wikiendi iliyopita.Lembabazz aliamua kutoa room hiyo iliyoko downtown (uhindini) kama upendo mkubwa hasa ikizingatiwa nyumba anayokaa king ina vyumba viiwili na hivyo yeye kubakia na chumba kimoja.Le mbabazz alimpa Neyo ufunguo huku akimsisitiza siku yoyote akiwa tayar kuhamia downtown bongo amshitue maana maisha bongo ni tambarare.
Kabla ya shoo Lemutuzz alipiga sana stori na Neyo backstage,huku king akimkumbishia mambo kibao aliyofanya mamtoni enzi za ujana wake 'mameni nimekaa sana downtown Newyork, I did the dishes for 15 years pale KFC,kabla ya kuamua kuendesha magari ya kusafisha jiji na baadaye kuamua kurudi shule ambapo niligraduate nikiwa barely over 50' Lembabazz aliendelea "mamen niliondoka mamtoni baada ya kushindwa kulipa gadem child support lkn nilitoroka kupitia boarder ya mexico,si unajua mimi ni AKILI KUBWA ''
Lembabazz na Neyo wamejenga urafiki mkubwa ndani ya masaa mawili ambapo wataalam wa mambo wametabiri utamsaidia Lembabazz kupanua mitandao yake mpaka pande za downtown Hollywood.