Elections 2015 Lembeli tumbo joto Kahama

Kwa hiyo Kahama ya 10 yrs before ndiyo Kahama ya sasa?? Nisaidieni hapa wakuu
 
BASHITE, huyu Mzee anajivinjari na mabinti wadogo? Ina maana hata binti yako kalishamlamba?
 
Mmmk nikweli lembeli hakufanya chochote ila sialikuwa ccm katika akilizako chache unazani MTU akiwa ccm anaweza Fanya nini hasa kama mfukoni mwake hana pesa ukiwa fisadi ndio utafanya kitu jimboni ili urudi tena madarakani bila kelele ccm mlimkataa lembeli na hupewa ushirikiano na serekali unazani angeletaje maendeleo jimboni ikiwa ccm mlimuwekea kizuizi had I almashahuri je unaweza tujibu mlipa mafungu ya shilingingapi kusaidia jimbo ama ulitaka atoe pesa zake binasfi kusaidia jimbo alafu then ale matope na familia yake angalia vya kuongea
 
mimi nipo kahama mjini hapa...ukweli ni kuwa lembeli anarudi bungeni kwa kura za wananchi hasa alivyohamia chadema ndio amepata nguvu zaidi pamoja na uwezo wake wa kuzungumuza ukilinganisha na mpizani wake kishimba hana kabisa uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kuahindi kujenga na kutekeleza ahadi hizo kwa pesa zake mwenyewe huku akiibua maswali kwa wananchi!!pili elimu yake bwana kishimba ni darasa la saba nalo kikwazo kwake..tatu..makazi yake kishimba hayaeleweki sababu ya biashara zake
 
Lembeli hana mpinzani hapa Kahama,ushindi saa misa ya kwanza.
 
Mzee wa nyeti za kuku hali mbaya.

Teh teh teh
 
Hivi ni jukumu la Mbunge kununua Vitanda na kuchimba visima?

kwanini asichimbe visima na kununua vitanda kwani pesa ya mfuko wa jimbo alikuwa anaifanyia nini huyu mzee fisadi.
 
Hivi ni kwann alisema nyeti za kuku yule mamvi hadi kope
 
Vipi Chakaza ulienda kwenye madini! haha mm hata akishinda lembeli sijari sana nshu ni Magufuli peke ndie RAIS
 
Last edited by a moderator:
Pesa ya mfuko wa jimbo kazi yake nn?

Ni kutoa Mikopo ya VICOBA.....Na Lembeli amefanya hivyo

Kodi tunayolipa kwa nini haijatumika kununua vitanda vya hosp ?
 
Ndiyo post yako ya kwanza kwa hiyo nakusamehe kwa utumbo wako huu

Hivi nyie hamkuwahi kuwa na post ya kwanza humu ninyi ni kina nani hasa kila mtu ana Uhuru hapa jukwaani hivyo mwacheni
 


Watu ka nyie mnapaswa mpewe elmu bure.

Ndo mana tunasema kipaombele cha kwanza elimu, cha pili elimu na cha tatu elmu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…