Siasa za bongo kaa nazo mbaliWakuu,
Yaani kwa haya majibu ambayo anatoa huyu Mchome ni wazi kuwa alikuwa analipiwa hiyo apartment
Ni kama usikie mtu katatuliwa marinda halafu uende kumuuliza, unategemea jibu gani?Lembrus Mchome: Kamuuulizeni Msajili kama kweli ananilipia Apartment Masaki
Huo ndiyo ukweli ni kama ile issue ya ABDUL kutumwa na mama yake kumuonga LissuHivi nyie mnajua hadhi ya msajili au mnaisikia tu redioni.
Yaani msajili asingiziwe , wiki imeisha eti bila hata kutuma ka demand note, nadhani Bon yai anazo facts zake na ndio maana kuna kaukimya flani hivi
Umemaliza kila kitu mkúuHivi nyie mnajua hadhi ya msajili au mnaisikia tu redioni.
Yaani msajili asingiziwe , wiki imeisha eti bila hata kutuma ka demand note, nadhani Bon yai anazo facts zake na ndio maana kuna kaukimya flani hivi
Unaweza kukuta hizo apartment ni za huyo huyo Boni Yai 🐼Hivi nyie mnajua hadhi ya msajili au mnaisikia tu redioni.
Yaani msajili asingiziwe , wiki imeisha eti bila hata kutuma ka demand note, nadhani Bon yai anazo facts zake na ndio maana kuna kaukimya flani hivi
Huku wajanja wanalamba Tone toneKunja ngumi✊ kunja ngumi✊ kazi ya kuikomboa taifa iendelee
😆😆 Hiii nchi ngumi sana mkuu, sio watawala sio wapinzani Kila mtu anang'ata anavyotakaHuku wajanja wanalamba Tone tone
Babu rungwe nae katajirika uzeeni🤣🙏😆😆 Hiii nchi ngumi sana mkuu, sio watawala sio wapinzani Kila mtu anang'ata anavyotaka
"Investment is an Art, science and Legal business". Uwekezaji wake umemlipa mkuu😆Babu rungwe nae katajirika uzeeni🤣🙏 we we
Tajiri kitambo huyo,old moneyBabu rungwe nae katajirika uzeeni🤣🙏