PreGE2025 Lembrus Mchome: Lissu hakubali kukosolewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani Samia anakubali kukosolewa? Vipi kuhusu yule mwanachama wa CCM aliyefukuzwa uanachama Kwa kuhoji uhalali wa Samia kupitishwa kugombea uRais nje ya katiba ya chama chake? Hata jiwe alikuwa anakubali kukosolewa? Yuko wapi Ben Saanane? Azory Gwanda? Na wengineo? Tuacheni unafki na kujipendekeza na kufifisha harakati za kuleta mageuzi ya kweli ya kulikomboa Taifa letu mikononi mwa wakoloni weusi
 
Sina hakika kama Lissu ni dikteta.Lakini nililo na hakika ni kuwa zile clips alizoweka kama ushahidi wa kuthibitisha kikao cha Baraza kutotimia akidi hazikubaliki kisheria.They are neither authentic nor credible.Therefore inadmissible before the court of law.
 
Kwa hiyo usaidiweje sasa? Hoja yako ni nini..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…