Lemutuz ashauriwe kuachana na Mitandao

Lemutuz ashauriwe kuachana na Mitandao

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
Nimemfuatilia hivi karibuni baada ya kutoka India kwenye Operesheni ya Moyo naona anatukanatukana watu tu hovyo wanaochangia Post zake.

Nadhani kuna shida mahali,nasikia aliwekewa mashine kwenye Moyo wake na kuna mtu aliniambia ukiwekewa mashine kwenye Moyo unakuwa na hasira zisizoeleweka, sijui ndicho kinachomkabili au amepata shida kidogo.

Ila kutokana na yeye kuwa na Ugonjwa ambao hautaki mbambamba bali utulivu ni vyema akashauriwa atoke huko Mitandaoni coz hao anaowatukanatukana bila utaratibu siku wakianza kujibizana asije akashindwa kuamka.

Ni kwa nia njema tu coz tunampenda Mzee wa Wabebez wa rangi za mitume, na tunataka aendelee kura Maisha Bandikabandua na kuhang out na visu juu ya Gadem Visu you know!

Azidi kutupa Straight talks na free Education you know, watu tupige kazi tutafute hela Bongo ni tambarare ni kama Mbelezz you know!

Atuambukize American spirit tuargue kwa Facts.

Ni hayo tu narudi zangu Sweken Downtown sipawezi you know,mambo ya Fivestar na Battan Wavuvi Camp ni Gharama sana you know!,tumshauri King of all social media asijiue bila kujua you know!Boma Yee!Yee!Boma Liwanza!Liwanza!

Iam just saying nothing personal you know!It is so simple na sasa hii ni CASE CLOSED you know!NAFWAZ.
 
Bogaz sana huyo jamaa, lile bichwa angetumia vizuri hata uteuzi angeupata.
Lakini linaona wabebez ndio mpango mzima,bichwa lote limejaa picha za papuchi.
Mda wote babaangu,baba kasema,baba alikua mtu mkubwa,
Babaa babaa babaaa,
Jimwili lote lile huoni aibu kutaja baba ,baba kila muda.
Nani hana baba hapa duniani.
Nani asiyempenda babaake.
Mchana linaweka kumbukumbu nzuri ya picha na wateuliwa.
Jioni linaweka picha liko chimbo na hawa ngedere mwitu.
 
mkuu styl ya maisha sio kanuni za chemistry darasan kila mtu ana styl yake weww km unafata kanuni fata hizo kanuni zenu za chemistry ila tu ujue wazungu wamewaweza sana adi leo mnamtusi mwafrica mwenzenu kisa haishi kikanuni mlizopewa na mzungu.
 
Nimemfuatilia hivi karibuni baada ya kutoka India kwenye Operesheni ya Moyo naona anatukanatukana watu tu hovyo wanaochangia Post zake.

Nadhani kuna shida mahali,nasikia aliwekewa mashine kwenye Moyo wake na kuna mtu aliniambia ukiwekewa mashine kwenye Moyo unakuwa na hasira zisizoeleweka, sijui ndicho kinachomkabili au amepata shida kidogo.

Ila kutokana na yeye kuwa na Ugonjwa ambao hautaki mbambamba bali utulivu ni vyema akashauriwa atoke huko Mitandaoni coz hao anaowatukanatukana bila utaratibu siku wakianza kujibizana asije akashindwa kuamka.

Ni kwa nia njema tu coz tunampenda Mzee wa Wabebez wa rangi za mitume, na tunataka aendelee kura Maisha Bandikabandua na kuhang out na visu juu ya Gadem Visu you know!

Azidi kutupa Straight talks na free Education you know, watu tupige kazi tutafute hela Bongo ni tambarare ni kama Mbelezz you know!

Atuambukize American spirit tuargue kwa Facts.

Ni hayo tu narudi zangu Sweken Downtown sipawezi you know,mambo ya Fivestar na Battan Wavuvi Camp ni Gharama sana you know!,tumshauri King of all social media asijiue bila kujua you know!Boma Yee!Yee!Boma Liwanza!Liwanza!

Iam just saying nothing personal you know!It is so simple na sasa hii ni CASE CLOSED you know!NAFWAZ.
Lemutuz ndio father wa social media Tanzania, he knows better, yuko so strong mentally alikotoka ndio kugumu zaidi kuliko alipo sasa
 
°Anajiita The King of All Social Media in Tanzania, zee la Wabebez.
°Hivi karibu ilisemekana amenunua Gari za kifahari, za Lamborghini na Royce Rolls-Royce
 
Utamshauri nini big man we,big man anapigiwa simu na mawaziri hebu wewe angalia simu yako hata km ya mtendaji wa kata inaingia
Hata kahaba anaejiuza hupigiwa simu na waziri akihitaji huduma.
Kipimo cha mafanikio sio kupigiwa na waziri bali sababu ya kupigiwa na huyo waziri.

Kwa design ya maisha anayoishi sidhani kama kuna waziri atampigia ku discuss sera za nchi. Wanampigia kumuomba namba za mademu anaowapost, so in short he is an old pimp. KUWADI ZEE LA DOWNTOWN.
 
Back
Top Bottom