PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Inashangaza kuona kazi imefanywa na band ya Wcb ikijumuisha wasanii wote wa Wcb lakini huyu gwiji wa mitandao ya kijamii katoa pongezi kwa msanii mmoja tu inamaana wengine hakuwasikia au kuwaona kwamba nao wameshiriki kwenye hiyo kazi,namna hii unawavunja moyo vijana wengine waliofanya hiyo kazi ushahidi hapo chini[emoji116]
-Ndumilakuwili-
-Ndumilakuwili-