Lemutuz kwanini unatoa pongezi kwa Diamond pekee, wakati kazi imefanywa na bendi?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Inashangaza kuona kazi imefanywa na band ya Wcb ikijumuisha wasanii wote wa Wcb lakini huyu gwiji wa mitandao ya kijamii katoa pongezi kwa msanii mmoja tu inamaana wengine hakuwasikia au kuwaona kwamba nao wameshiriki kwenye hiyo kazi,namna hii unawavunja moyo vijana wengine waliofanya hiyo kazi ushahidi hapo chini[emoji116]

-Ndumilakuwili-
 

CC: MSAGA SUMU
 
Hata mimi nimecheka sana

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Diamond yupo na kipusa hapo, mzee hayo macho mbona utata? Au kungu na amarula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…