ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Duh Jamaa anajua sanaNaskia hata akiamua kuchora ili akosee inashindikana.
Ni wazi hujanywa chai pole sana kwa msongo wa mawazo hata mimi kuna pindi napatwa na makasirikoSasa bro ilikuwa na ulazima wa kuanzisha thread kama hii kweli🤒
Sasa bro ilikuwa na ulazima wa kuanzisha thread kama hii kweli[emoji855]
Kwahyo mikono yake inagoma kabisa kukosea.Naskia hata akiamua kuchora ili akosee inashindikana.