Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa


Tatizo kubwa lililopo ni ushabiki.

Mi CCM imekalia ushabiki ushabiki tu. Ikisikia katiba mpya inadhani ni ya chadema.
 
Mmmh yaani huwajui walioko ndani na wengine wameshafugwa? Pia madawa hapa Dar yamepungua mno. Kinondoni watu wamepumua sana tu na madhara ya dawa mkuu au haupo Dar?
Nani kafungwa katika wale 42.Maana mwendazake alimlenga Mbowe mtoto gwajima na kutengeneza kipato fursa.
Kwa Jamii za watu waliostaariba ilifaa awe jela.
 
Ooooo! Kishindo! Ooooo miundombinu kumbe watu wanamaliza msosi jikoni wanaleta kiduchu mezani na kutufanya ndondocha eti tuvumilie IPO siku .......tutakula mema ya nchi ........
Uzuri no kwamba Mungu yupo juu ya vyote.
 
Ooooo! Kishindo! Ooooo miundombinu kumbe watu wanamaliza msosi jikoni wanaleta kiduchu mezani na kutufanya ndondocha eti tuvumilie IPO siku .......tutakula mema ya nchi ........
Uzuri no kwamba Mungu yupo juu ya vyote.
Mlikuwa mnapelekwa kanani kula asali na maziwa[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kila mtu anakutwa na bilioni tatu!! Kakoko bilioni tatu, Sabaya bilioni tatu. Mnatufanya sisi watoto?
 
Nani kafungwa katika wale 42.Maana mwendazake alimlenga Mbowe mtoto gwajima na kutengeneza kipato fursa.
Kwa Jamii za watu waliostaariba ilifaa awe jela.
Baadae aliambiwa atulie, kikaundwa tume maalum
Kwahiyo yeye alitimiza wajibu kwa nafasi yake
 
Huyu Sabaya inapaswa aingiliwe kinyume na maumbile au apelekwe jela akaozee uko au anyongwe kabisa hii mbegu ipotee
 
Lengai ole Sabaya anapaswa kulishitaki gazeti hili la Rai kwa kuchapisha defarmatory report dhidi yake zisizokuwa na ukweli wo wote. Awadai wamiliki wa gazeti hilo kumlipa TSh billion tatu kama fidia ya kumchafua. Hii itakuwa fundisho kwao na magazeti mengine yanayofanya hivyo. Hakuna haja ya kuyafungia. Yakikosea maadili yashitakiwe na kulipa fedha hadi yafilisike. Mh. Sumaye alifanya hivyo na akalipwa mabilioni. Sabaya nawe fanya hivyo ulipwe mabilioni.
 
Mshahara wa DC ni kama shilingi ngapi eti?

HEBU TUJARIBU KUFANYA ASSUMPTIONS NA KISHA TUFANYE UKOKOTOZI;

Kwa sababu hata kama ingekuwa anapata Tshs. 5,000,000 mwezi tena bila makato yoyote na kwa muda aliokàa ktk nafasi hiyo hawezi kujiwekea akiba ya kiasi hicho cha pesa...!!

SASA TWENDE KAZI;

1. Tuashumu kwa mfano, amekuwa DC kwa miaka mitano ambayo ni sawa na miezi 60..

2. Kwa hiyo chukua 5,000,000 × 60 = Tsh. 300,000,000..

Tukumbuke kuwa, mpaka hapa hajatumia hata senti tano ya mshahara wake kwa ajili ya matumizi yake na familia yake...!

3. Sasa tumuwekee na posho na allowances zake mbalimbali kwa miezi yote 60 jumla ya Tshs. 200,000,000. Maana yake kwa muda wote aliokuwa kazini serikali ingekuwa imempa fedha kipato chake halali jumla ya Tshs. 500,000,000...!!

4. Ukitoa matumizi yake ya kawaida ya nyumbani kwake (recurrent expenditures) chakula, mavazi, bills mbalimbali, mavazi, ada za shule nk, basi possibility ya kusevu ni (labda) Tshs. 50,000,000 fedha halalu bila wizi...

NOTE: Huyu mtu kama kweli kakutwa na kiasi hiki kikubwa cha pesa tena nyumbani, likely huyu mtu ni MWIZI...

Ni sharti ashtakiwe kwa kesi ya utakatishaji fedha, uhujumu uchumi a.k.a money laundering...!!
 

Unadhani gazeti hilo lina waandishi wajinga na wapumbavu wa kiwango chako kiasi cha kutoelewa repercussions za kuçhapisha taarifa ya uongo bila kuwa na uhakika?

I understand kuwa, hutokea na ilikwisha kutokea kwa vyombo vya habari kuchapisha/kutangaza habari za kizushi na zikashtakiwa na kuishia kulipa fidia/faini au kuomba radhi...

Lakini najua na wewe unajua pia kuwa, imekwishakutokea mara nyingi vyombo hivi hivi vya habari magazeti/TV/Redio nk zimewahi kuchapisha au kutangaza habari nyeti za kiuchunguzi kama hii na ikathibitika pasipo shaka kuwa yote NI KWELI...!

So, don't be preemptive, don't be prejudgemental...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…