Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

Ninajua sana nilichoandika. Hili gazeti Galina credibility kabisa. And Ive proof. Nikupe mfano, Luna akauntti iliyowekwa na hilo gazeti ambako Ole Sabaya kaficha hayo mabilioni?
Wewe jamaa ni mjinga sana tena saaaana. Unajua bank security yaani waweke akaunti ya mteja kirahisi tu. Punguani wewe.
 
Ni nani huyo? Hebu mtaje, na sisi wengine tupate kumfahamu!
Yule aliyekuwa RC manyara kabla yake alikuwa DC arumeru. Aliyetamba na biashara ya mnada wa wapinzani. Siku hizi yuko Misungwi mwanza baada ya uporaji wa 2020!
 
Bado kuna aliyekua mkuu wa mkoa wa iringa nae
 
Akikamata Gunia moja tu la mirungi ni hadi mil5 hapo moshi
 
Mtoa rushwa na Mpokea Rushwa wooote Manzi ga Nyanza!! tuliposema haya tulikuwa hatutanii hata kidogo!!! kwa nini umpe mtu rushwa wakati unajua kuna TAKUKURU!! achenni majungu wachaga
 
Bado kuna aliyekua mkuu wa mkoa wa iringa nae
yuko Mwanza mwenzenu lkn hili jamaa nalo chalamila sijui linaitwa? na liona km mjichemkaji hivi anakurupikaga tu huyoooo!! km motot wa kifuu
 
Mmoja wa WAOVU waliokumbatiwa na dikteta na dhalimu magufuli.
 
Loh! Kumbe aliyekuwa Waziri wa Fedha analijua hili? Bahati mbaya hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa hadi sasa na wengi wakiulizwa.
 
Udini umetabaruki kila kona nchi hii,Maroli yote Ni waislamu,tumechoka tunataka equality.
Udini kwenye nini, acheni kuvunga bwana! Biashara kwa makundi fulani kushika kasi inategemea na sababu za kihistoria na za kimaeneo.
Mbona biashara ya mashule imeshikwa na wakristo wengi na husikii waislamu wakilalamikia hilo? Kama unataka malori si ununue yako nani kakukataza?
 
Huenda limewahi kupata aibu ya kuandika habari za uongo huko nyuma, hivyo linashindwa kuaminika tena
Kwa taarifa yako tu japo waweza kuwa unajua.
Magazeti yanayoandika ukweli Tanzania ndiyo huwa yanafungiwa! Lilikuwa kifungoni kwa kuandika habari za Hamza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…