Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

Alitumia madaraka yake vibaya sana, kutumia silaha za moto kuwatisha wafanyabiashara wampe mamilioni, hizo mali zake zinatakiwa kutaifishwa wakati yeye akienda gerezani.
Naunga mkono hii hoja
 
Halafu mali ya dhuluma ina laana hakukumbuka hata kuzipeleka visiwani British Virgin Islands ,Panama au Jersey huko au Uswisi kwenye offshore accounts alipokuwa bado na madaraka.Yeye akajiamini wakati dossiers zake zipo TISS na briefings zimetolewa sana. Damu na laana za watu zinamtafuna, ila mwendazake alikuwa anaumiza sana watu hii yote ili tu Mbowe asishinde Ubunge!!!! Mbona dhambi kubwa hizi kuumiza watu wengi mno kisa utukufu wa chama
 
Kwnye picha uliyoweka, nilitaka kusoma habari inayohusiana na hii
 
Watabaki wanakula mademu zake.
 
Mambo ya Pandora Box🤣🤣
 
Hizi pesa zimepatikana kwa njia za haramu je Serikali itazitaifisha?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…