Lengo kuu la kuchumbia au kupeleka barua ya posa ni nini?

Lengo kuu la kuchumbia au kupeleka barua ya posa ni nini?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie

Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa

Na kwanini huwa tunachumbia?
 
Ni kwa lengo tu la kuenzi mila na desturi zetu. Nothing more!
 
Ni kwaajil ya kujulikana ukweni na kuweka possibility kubwa ya kuolewa
 
Back
Top Bottom