Bata batani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 3,217 Reaction score 3,694 Sep 29, 2021 #1 Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa Na kwanini huwa tunachumbia?
Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa Na kwanini huwa tunachumbia?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Sep 29, 2021 #2 Ni kwa lengo tu la kuenzi mila na desturi zetu. Nothing more!
P Passenger19 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2021 Posts 597 Reaction score 955 Sep 29, 2021 #3 Ni kwaajil ya kujulikana ukweni na kuweka possibility kubwa ya kuolewa