Lengo KUU la VITAMBULISHO vya URAIA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Ni kupata idadi kamili ya wapiga kura ili kama uchakachuaji unafanyika,basi ufanyike kiustadi mkubwa.'Kikompyutakompyuta'.NIDA wameshaagizwa kuhakikisha wanafananisha watakaoandikishwa na wale walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga kura ili kujua hasa vituo vya kuigia kura. Wameshakabidhiwa nakala za Daftari la Kudumu.Hujiulizi kwanini vitambulisho wapewe tu miaka 18 na kuendelea? CHADEMA watatoa sera,CCM wataiba kura...
 
alaf wametoa muda mchache sana, yaani mwisho ni 31 July! dah!
 
ukihoji sana utapelekwa mabwepande, that is how the dictatorship type of government leads
 
Nimeshajiandikisha, na baadaye nikajiuliza, hapa wanataka kutengeneza vitambulisho vya uraia au UKAAZI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…