Mkuu Magufuli ni malaika ndo maana anatoa tu ubalozi kwa waume za watuChadema inakufa kwa ujinga wa viongozi wa juu
Nani atakaa kwenye chama ambacho viongozi wake wanaropoka matusi tu km mdee na lissu
Mkuu Magufuli ni malaika ndo maana anatoa tu ubalozi kwa waume za watu
Ripoti ya polisi maelezo meengi. Mutu Muongo utamjua tu anaamini maneno mengi ndio ukweli🤣🤣Return Of Undertaker,
Kwa hali kama hii, ya Morotto kutoa waraka kama ule, kwli polisi watashindwa kukimbia na sanduku la kura? Kwenda uchaguzi ni jambo la kutafakari sana. kama hakuna tume huru, waache tu na kusambaza dunia nzima sababu za kuacha kushiriki! Mbona wana hoja nzito sana.. kwa intmidation ambazo wamepitia?
US, EU ,UK hawawezi kufanyia kazi ripoti za kuunga unga mezani kwa Muroto.Usanii wa CCM umeshawastua na wadau wetu wa maendeleo... aka mabeberu.
Sasa tujiweke mguu sawa maana tayari wameshaingia Kwenye rada za US, EU, UK.
Kilichobakia kinasubiriwa ni huu uchaguzi mkuu kama tukicheza nao tu...basi safari za Ze-hegi zitaanza kama zile za Kenyatta na rafiki yake.
Hawa jamaa si wa kuchezea kabisa!! Joseph anawajua fika ndiyo maana kaamua yeshee!!
Misukule ya ccmTatizo hampendi kuambiwa ukweli
Mlisha muona Mbowe ni mungu mtu
Vibendera wote kumkosoa mbowe Ni No
Mpo mpo tu
Uwezo wakujiongoza Umewashinda nchi mtaiweza
Tume huru ipi
Anzeni kutoa uhuru ndani ya Saccos yenu kwanza
Cdm imejengwa na matendo ya udhalimu wa ccm awamu hiiChadema inakufa kwa ujinga wa viongozi wa juu
Nani atakaa kwenye chama ambacho viongozi wake wanaropoka matusi tu km mdee na lissu
Wakitaka kuifuta chadema, waje mitaani watuue wananchi. Kununua wabunge na kutoa maneno ya kejeli bungeni hakuwezi kuleta impact yoyote labda kwa vilazaa wa MATAGACCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima.
Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na ndio mwaka wakahakikisha wenyeviti wa mitaa wote ni wa CCM.
Wakaja ajenda ya kuwatoa mameya wote wa upinzani hasa chadema kwa nguvu au kwa pesa.
Wakaja na ajenda ya kuwachagulia upinzani viongozi ikashindwa hasa chadema.
Uchaguzi wa 2020 unakuja wanashangaa na kuwa na hofu na chadema sasa wafanye nini na mwenyekiti wa CCM hapendi upinzani hsa ushindani hataki kabisa.
Kwa sasa kete pekee ni kutumia vyombo vingine vya dola kuangalia namna ya kukifuta chama ili apite bila kupingwa.
Ameshajiwekea ulinzi wa kutoshitakiwa kwa sasa haogopi kufanya atakacho na ndio anaenda kufanya.
Pesa Kodi yetu iliyotumika kupambana na chadema for 5 yrs ingetosha kabisa kujenga daraja pana la kisasa mto wapi kureplace lile la mkoloni kuokoa ndugu wenzetu kutumbukiaBajeti ya kilimo imetekelezwa 17.55% pekee sababu wslijisahau kumshughulikia na Chadema
Njia rahisi ni kutatua shida za watz bila hivo wanakimbiza upepo upinzani upo palepaleWakitaka kuifuta chadema, waje mitaani watuue wananchi. Kununua wabunge na kutoa maneno ya kejeli bungeni hakuwezi kuleta impact yoyote labda kwa vilazaa wa MATAGA
Hilo lipo nje ya uwezo wao. Wao wakipata hela za wahisani wanawaza kutunisha account zao binafsi.Njia rahisi ni kutatua shida za watz bila hivo wanakimbiza upepo upinzani upo palepale
Chadema haifi wewe acha kujitoa akiliChadema inakufa kwa ujinga wa viongozi wa juu
Nani atakaa kwenye chama ambacho viongozi wake wanaropoka matusi tu km mdee na lissu
Wamewafanya watu wawe masikini ili wawatawale.furaha yao ni kuona wengi wakiwa fukaraHilo lipo nje ya uwezo wao. Wao wakipata hela za wahisani wanawaza kutunisha account zao binafsi.
Hii nchi ukiwa maskini uulizwi ila ukiwa tajiri lazima uisome nambaWamewafanya watu wawe masikini ili wawatawale.furaha yao ni kuona wengi wakiwa fukara
[emoji23][emoji23]Inaweza kuwa photoshop! Nadhani wewe hujui kitu! Hicho kimeza cha chooni ndicho akae Mbowe, you are crazy! wewe ni kukupiga tofari tu! spana tu!
Chadema haifi ingekuwa inakufa yenyewe nyinyi CCM mngeacha ijifie tu bila kelele, CCM kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na sasa mnatumia Takukuru kuidhoofisha chadema wakati Ndungai kapiga bilion 12 peke yake hamjatuma Takukuru kwenda kumhoji, Kange lugola kapiga advance ya vifaa vya zimamoto yupo anadundaChadema inakufa kwa ujinga wa viongozi wa juu
Nani atakaa kwenye chama ambacho viongozi wake wanaropoka matusi tu km mdee na lissu
Ndungai kapiga bilion 12 ndiyo kuitii vyombo vya Sheria, Kange lugola kapiga pesa za zima moto ndiyo kutii Sheria? Zipo wapi trilion 1.5 ? Mlimtoa kafara CAG ili awapishe mpate kuchota pesa kienyeji huko BOTWasiotii sheria ndio lazima wakumbane na vyombo vya usalama
https://www.facebook.com/CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima.
Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na ndio mwaka wakahakikisha wenyeviti wa mitaa wote ni wa CCM.
Wakaja ajenda ya kuwatoa mameya wote wa upinzani hasa chadema kwa nguvu au kwa pesa.
Wakaja na ajenda ya kuwachagulia upinzani viongozi ikashindwa hasa chadema.
Uchaguzi wa 2020 unakuja wanashangaa na kuwa na hofu na chadema sasa wafanye nini na mwenyekiti wa CCM hapendi upinzani hsa ushindani hataki kabisa.
Kwa sasa kete pekee ni kutumia vyombo vingine vya dola kuangalia namna ya kukifuta chama ili apite bila kupingwa.
Ameshajiwekea ulinzi wa kutoshitakiwa kwa sasa haogopi kufanya atakacho na ndio anaenda kufanya.
Hawa ndiyo vinara wa kueneza ujinga huko CCM