L lumumba junior Member Joined May 23, 2014 Posts 48 Reaction score 20 May 23, 2014 #1 hivi naomba kujua hizi machine za electronic fiscal devise zina lengo gani kwa wafanyabiashara au nikutukata mapato mpaka faida tunazopata?
hivi naomba kujua hizi machine za electronic fiscal devise zina lengo gani kwa wafanyabiashara au nikutukata mapato mpaka faida tunazopata?
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 May 24, 2014 #2 Wala haisumbui Mkuu, mbona jamaa yanatuandikia hela pungufu? Unalipa 1 m unapewa risiti ya 125,000/=! Wizi mtupu!
Wala haisumbui Mkuu, mbona jamaa yanatuandikia hela pungufu? Unalipa 1 m unapewa risiti ya 125,000/=! Wizi mtupu!