chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Japo alikuwa CCM wenye idadi kubwa ya chawa kupitia mapambio na kwaya Zabron singers ila kuna sehemu alikuwa na yake ambayo naona wanamsifu mtu mwengine kuwa ni yake.
Kitendo cha kuivunja Dar es Salaam ilisaidia sana amasa za watu kuona umuhimu wa mikoa mingi na vijiji hususan suala la umeme, maji na barabara ambazo kwa asilimia fulani bado zijaweza kuendelezwa au kutekelezwa mpaka sasa.
Madhumuni ya haya yote ni kutaka kupunguza wimbi la majiji ambao kila mtu usongamana.
Mfano Dar es Salaam UDSM na vyuo vingine vilitakiwa kubadilisha ngazi kama kiwe chuo cha kuchukua master tu na masomo ambayo yenye watu wachache na kupeleka sehemu za mikoa hizo degree kama mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara, Singida, Kagera, Musumo na Tabora.
SUala la mikoa kupakana na nchi jirani ilitakiwa kuwa sehemu za mipaka mazingira ya masoko makubwa mfano mkoa wa Kagera, Kigoma, Tanga, Mtwara na Mbeya.
Ila kwa vile team ya Zabron Singer aka chawa wa CCM hayawezi kuwa na hoja zaidi wakiletewa ukweli hawajui hoja