Lengo la mchezo wa ngao ya jamii linatekelezwa?

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Kwa kawaida charity show yeyote ni kukusanya hela kwa ajili ya kutoa msaada either wasiojiweza, watoto yatima, elimu au matumizi yeyote ya bure kwa jamii flani.

Hivi TFF wanatimiza hili lengo? Au ndio mgeni njoo mwenyeji apone?

Twendeni taratibu lakini.
 
NASISITIZA TENA.

KUNA VYOMBO KAMA.

FIFA.

CAF.

TAKUKURU.

TISS.

POLISI.

Aina yoyote ya WIZI, uhujumu, RUSHWA, udanganyifu.
Vipo vyombo maalumu kwa akili ya kusimamia hili.
 
NASISITIZA TENA.

KUNA VYOMBO KAMA.

FIFA.

CAF.

TAKUKURU.

TISS.

POLISI.

Aina yoyote ya WIZI, uhujumu, RUSHWA, udanganyifu.
Vipo vyombo maalumu kwa akili ya kusimamia hili.
Hivyo ulivyovitaka vyote vina tuhuma za rushwa.
 
TFF hawako makini 'serious'
 
Wanahudumia watoto yatima matumboni mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…