Lengo la TFF linaenda kushindwa.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Bila shaka ulikua mkakati wa Tff kuhakikisha Yanga anatema pointi tisa na kumtengenezea Simba njia nyeupe ila ndio hivyo mpango wao umeshindwa sio ajabu wakaja na propaganda zao tena za kubadili ratiba ili kujifanya wanaifavor Simba.

Yanga imecheza mechi ngumu sana mbili Vs Singida united, Vs Azam na leo dhidi ya Simba hapa ukiangalia kwa jicho la Kimosads kama sio kupoteza pointi kwa kufungwa basi wapoteze pointi kwa kudroo ila mipango yao imebuma.

Tff waliipa Yanga mechi ngumu mtawalia pia kwa lengo la kuwachosha ila wakikutana na Simba wale mikwaju ya kutosha ila Kiko wapi ingekua ni Simba imepangiwa ratiba ngumu kama ya Yanga halafu leo hii ndio wangekua wanakutana na Yanga pasipo na shaka zingekua goli hata Saba wawashukuru sana Tff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…