RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Kama hawajakufanyisha mtihani wa kuandika, basi hiyo interview ya tatu ndiyo mbadala wake.Habari wakuu,
Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa phone interview na WA Norway, badae nkapita, na kuingia second interview nilifanya na ma boss kutoka Norway kupitia zoom. Nayenyewe nimepita, eti natakiwa kufanya Tena third interview Tena, kupitia Zoom.
Wakuu lengo la third interview uwa ni nini,? Je Kuna mtu ashawai pitia hizi interview anipe mwongozo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hatari sana hayo mashirika yenye agenda za siri za ufirauni
Duuuu nomaaa,Mkuu hapo ni kwamba tayara umepita ila kuna watu kat yao hawajakuamin na kuna maswali watakuulza kwa kuyarudia hayo ndio yatayokupa kaz au lah ,
Kila la heri
Aisee na hakuna mtihani wa kuandika interview inapigwa ZoomKama hawajakufanyisha mtihani wa kuandika, basi hiyo interview ya tatu ndiyo mbadala wake.
Tegemea maswali ya kawaida ya jinsi unavyoweza kufanyakazi na watu wengine na pia unavyoreact/handle
kutokana na maelekezo ya boss ambayo hukubaliani nayo.
Usimuone mnoko jamaa anayekuuliza maswali mengi, maana huenda anakusaidia kwani atakuwa
ameona mahali hujajieleza vizuri bali anaamini unauwezo wa kujieleza vizuri zaidi, hivyo anakupiga
swali kutokea angle nyingine.
Fanya tu hizo interview usichoke maana ndiyo kutafuta kwenyewe.
Baada ya interview mbili utakuwa umepata uzoefu wa hilo shirika.Aisee na hakuna mtihani wa kuandika interview inapigwa Zoom
Duu unanitia moyo thanks mkuu, mie nadhani nkamaliza ya tatu Kuna ya nne, salary hatujabagain, afu interview ilikuwa nifanye Jana kwakua hakuna internet wakaalisha hadi next week nimechukia kwakweliNdiyo interview rahisi kuliko mbili za mwanzo.
Inaweza kuwa ndiyo interview ya HR, (jiandae kubargain kama bado) inaweza kuwa ni interview na management au moja ya your line manager ambaye hakuwepo katika interview ya pili.
Ni interview unayotakiwa kuuliza maswali kuliko zote sababu consider kuwa kazi umeshapata.
Yangu ilikuwa hivi, ya kwanza na technical team, ya pili ya HR ya tatu na watu wa management.
All the best.
Mimi ya kwanza na ya pili ni technical management(yaani wataalamu)Ndiyo interview rahisi kuliko mbili za mwanzo.
Inaweza kuwa ndiyo interview ya HR, (jiandae kubargain kama bado) inaweza kuwa ni interview na management au moja ya your line manager ambaye hakuwepo katika interview ya pili.
Ni interview unayotakiwa kuuliza maswali kuliko zote sababu consider kuwa kazi umeshapata.
Yangu ilikuwa hivi, ya kwanza na technical team, ya pili ya HR ya tatMau na watu wa management.
All the best.
Dogo unachukia wakati unaenda kufanya kazi na mzungu? Mshahara usije ukasema laki 3 tu π unaonekana ni freshers mwenye vyeti vizuri ila hujayajua maisha.Duu unanitia moyo thanks mkuu, mie nadhani nkamaliza ya tatu Kuna ya nne, salary hatujabagain, afu interview ilikuwa nifanye Jana kwakua hakuna internet wakaalisha hadi next week nimechukia kwakweli
Mimi ya kwanza na ya pili ni technical management(yaani wataalamu)Ndiyo interview rahisi kuliko mbili za mwanzo.
Inaweza kuwa ndiyo interview ya HR, (jiandae kubargain kama bado) inaweza kuwa ni interview na management au moja ya your line manager ambaye hakuwepo katika interview ya pili.
Ni interview unayotakiwa kuuliza maswali kuliko zote sababu consider kuwa kazi umeshapata.
Yangu ilikuwa hivi, ya kwanza na technical team, ya pili ya HR ya tatMau na watu wa management.
All the best.
No nmechukia mtandao kuzingua na interview kuhairishwa,,,, je kunaweza kukawa na interview ya nneDogo unachukia wakati unaenda kufanya kazi na mzungu? Mshahara usije ukasema laki 3 tu π unaonekana ni freshers mwenye vyeti vizuri ila hujayajua maisha.
Kibo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiring is a risky business.... jamaa yangu kapata kazi US... alipiga interviews 6.
Tamisemi labda ndo kazoeaUmezoea za utumishi sio?