binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
No sijawa mkali rafiki, nilitaka tu nijue kama ulimaanisha, na najua hukumaanisha. Hizo ni personal info za mtu hawezi zitoa kwenye comments.Ndio mkuu, Ili nitafute madiki aise, Tatizo binti kiziwi Kawa mkali ghafla kama pili pili. Ila ni vizuri kutunza siri ππππ
HNipo ndugu.
Kuwa mvumilivu watakupa majibu, huwa wanachelewa kuna muda (atleast kwa uzoefu wangu). Sijajua kwanini hizo delays huwa zinatokea, ila ni lazima watakupa majibu ya mwisho.
Yawezekana huu ni wakati mgumu kwako, jipe moyo. π€π€
CC. Dr. Wansegamila mkuu any idea, unasemaje juu ya hili? Nimekuita wewe sababu huko juu umeeleza as someone In senior positions, naamini unauzoefu wa interviews za weupe kedekede...
Mbona utafika tu,,watu wapo UNHCR wanakula 14m.Siku nikifikia huko najitoa JF, hamnipati ng'oo π
No Body No me, afu hapa nime hid information hatari unaweza kuta ata si wa Norway πKuna mambo mengine si ya ku disclose sana ,especially kama bado hayajakamilika .
Kuna masikio mengine yakishasikia neno jema tu basi, ishu zote zinakomea hapo.
All the best
Sawa mkuu.No Body No me, afu hapa nime hid information hatari unaweza kuta ata si wa Norway π
Inategemea na mwajiri ila mara nyingi 3rd interview huwa ni informal sana sio interview nzito kihivyo hapo mara nyingi utakutana na management meaning head of department utakayofanyia kazi, head of organisation japo sio lazima inategemea na posirion if ni managerial, na top top wa HR hapo kinachotafutwa ni mtu atakayefit kwao based on their culture, budget, na position yenyewe na hapo kitu kidogo sana na ambacho hata hutokijua chaweza kukukosesha kazi maana kumbuka hapo huenda mkawa mmebakia candidate wawili strong ambapo yeyote anaweza pata kazi. Al in al hapo mtegemee Mungu zaidi.Habari wakuu,
Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa phone interview na WA Norway, badae nkapita, na kuingia second interview nilifanya na ma boss kutoka Norway kupitia zoom. Nayenyewe nimepita, eti natakiwa kufanya Tena third interview Tena, kupitia Zoom.
Wakuu lengo la third interview uwa ni nini,? Je Kuna mtu ashawai pitia hizi interview anipe mwongozo.
Inategemea na mwajiri ila mara nyingi 3rd interview huwa ni informal sana sio interview nzito kihivyo hapo mara nyingi utakutana na management meaning head of department utakayofanyia kazi, head of organisation japo sio lazima inategemea na posirion if ni managerial, na top top wa HR hapo kinachotafutwa ni mtu atakayefit kwao based on their culture, budget, na position yenyewe na hapo kitu kidogo sana na ambacho hata hutokijua chaweza kukukosesha kazi maana kumbuka hapo huenda mkawa mmebakia candidate wawili strong ambapo yeyote anaweza pata kazi. Al in al hapo mtegemee Mungu zaidi.
Hiyo interview usishange ukaitwa then unapiga breakfast, au lunch na interviewers huku mazungumzo yakiwa ya kawaida sana tuπ€£Amina
Mkuu interview nilishapiga mie ilikuwa pia technical hapa nasubiri majibu siku zinaenda naona kimyaHiyo interview usishange ukaitwa then unapiga breakfast, au lunch na interviewers huku mazungumzo yakiwa ya kawaida sana tuπ€£
Niliwahi piga interview 3rd round ambapo nilikuwa na naibu balozi, head of HR, head of department niliyokuwa naenda ifanyia kazi ilikuwa ni mojawapo ya balozi za scandanavia kazi nilipata ili nilipiga chini coz of salary. Interview ilikuwa kawaida sanaaaa!
Naibu balozi alitaka tu kujua challenge ninazoanticipate kwenye hiyo kazi, akataka kujua mshahara ninaoutaka.
Basi wape wiki tatu mpaka 4 mara nyingi ndani ya huo muda au baada ya mwezi 1 watakujibuMkuu interview
Mkuu interview nilishapiga mie ilikuwa pia technical hapa nasubiri majibu siku zinaenda naona kimya
Basi noma yaani one month, Bado hawajatoaga feedback,,,nomaBasi wape wiki tatu mpaka 4 mara nyingi ndani ya huo muda au baada ya mwezi 1 watakujibu
Salary hata ubagain huwezi pata mshahara nje ya Upper Margin yao.Duu unanitia moyo thanks mkuu, mie nadhani nkamaliza ya tatu Kuna ya nne, salary hatujabagain, afu interview ilikuwa nifanye Jana kwakua hakuna internet wakaalisha hadi next week nimechukia kwakweli
Anaogopa maswali ya Cultural diversity and InclusionDogo unachukia wakati unaenda kufanya kazi na mzungu? Mshahara usije ukasema laki 3 tu π unaonekana ni freshers mwenye vyeti vizuri ila hujayajua maisha.
Third interview nahisi ni maboss unaoenda kufanya nao kaziHabari wakuu,
Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa phone interview na WA Norway, badae nkapita, na kuingia second interview nilifanya na ma boss kutoka Norway kupitia zoom. Nayenyewe nimepita, eti natakiwa kufanya Tena third interview Tena, kupitia Zoom.
Wakuu lengo la third interview uwa ni nini,? Je Kuna mtu ashawai pitia hizi interview anipe mwongozo.