Lengo lilikuwa nini mje kunikumbusha hapa

Lengo lilikuwa nini mje kunikumbusha hapa

Milazetu

Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
32
Reaction score
22
Lengo la kuondowa pombe za kwenye vifungshio vya plastiki kama zed,double punch na konyaji lilikuwa nini na mkaleta master,na vingine vikali lengi nini?
 
1. Uchafuzi wa mazingira.
2. Kutumiwa sana na vijana kwa sababu ya bei rahisi.
3. Kukosa udhibiti.

Ingawa point namba 2 haina mashiko kwa sasa maana vimekuja visungura vijana wanagawana vya buku buku.
 
Uchafu
1. Uchafuzi wa mazingira.
2. Kutumiwa sana na vijana kwa sababu ya bei rahisi.
3. Kukosa udhibiti.

Ingawa point namba 2 haina mashiko kwa sasa maana vimekuja visungura vijana wanagawana vya buku
Usiwajibu watu wazembe
Uzembe

1. Uchafuzi wa mazingira.
2. Kutumiwa sana na vijana kwa sababu ya bei rahisi.
3. Kukosa udhibiti.

Ingawa point namba 2 haina mashiko kwa sasa maana vimekuja visungura vijana wanagawana vya buku buku.
Asante.Ila uchafuzi hata kopo bado ni uchafu.
 
Back
Top Bottom