Lengo ni kuongeza kasi ya usimamizi katika kila kona na si Vinginevyo!

Lengo ni kuongeza kasi ya usimamizi katika kila kona na si Vinginevyo!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Waota njozi wamekuwa na tafsiri 1001,lakini lengo kuu ni usimamizi thabiti, wakati mwingine ngombe bila bakora haendi.
FB_IMG_1693625389665.jpg
 
Waota njozi wamekuwa na tafsiri 1001,lakini lengo kuu ni usimamizi thabiti, wakati mwingine ngombe bila bakora haendi. View attachment 2736218
Usimamizi kuna mbuzi hapa? Walio chini wanaangalia wa juu anafanya nini, wanaona mnauza loliondo, Ngorongoro, bandari na wao wanaiba .......... Siyo kuwa hawawezi kufanya yanayotakiwa, wanaiga nyinyi wezi wakubwa!
 
Back
Top Bottom