INAUZWA Lenovo Laptop

INAUZWA Lenovo Laptop

Firecracker

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
51
Reaction score
45
Location: Dar es Salaam
Processor: Intel Core i3 (6th Gen)
Hard Disk: 500 GB
RAM: 4 GB
Operating System: Windows 10 Pro 64-Bit
Additional Software: Microsoft Office Professional Plus 2013

we-lenovo-v110-15inch-robust-design.png

841470789.jpg
$_86.JPG
 
Hapo ni picha 3 tofauti aisee, sijui why huwa unauza vitu bila picha halisia, wewe ni Tapeli
 
Hapo ni picha 3 tofauti aisee, sijui why huwa unauza vitu bila picha halisia, wewe ni Tapeli
Akili mgando!! Kwani nauza picha hapa?? Na nakutapeli vipi wakati inabidi uione mashine kwanza uridhike ndo tufanye biashara?
 
Akili mgando!! Kwani nauza picha hapa?? Na nakutapeli vipi wakati inabidi uione mashine kwanza uridhike ndo tufanye biashara?
Acha ushamba, kama huuzi picha umeweka za nini?? Usiwe jinga..weka Picha halisi ya Bidhaa watu tuitambue katika muonekano halisi,, sio kudownload picha mitandaoni.
Mfano hiyo picha ya kwanza juu ni mara ya pili unaitumia leo ilihali kuna mdau alikuumbua juzi kuwa umedownload na link akaweka. Shwain
 
Weka picha halisi. Sio naporeza muda kuja kuona kitu tofauti na kwenye picha
 
Back
Top Bottom