Firecracker
Member
- May 21, 2017
- 51
- 45
535,000 sh
Hapo ni picha 3 tofauti aisee, sijui why huwa unauza vitu bila picha halisia, wewe ni Tapeli
Nimewahi kukutapeli mkuu?Hapo ni picha 3 tofauti aisee, sijui why huwa unauza vitu bila picha halisia, wewe ni Tapeli
viashiria!!Nimewahi kukutapeli mkuu?
Akili mgando!! Kwani nauza picha hapa?? Na nakutapeli vipi wakati inabidi uione mashine kwanza uridhike ndo tufanye biashara?Hapo ni picha 3 tofauti aisee, sijui why huwa unauza vitu bila picha halisia, wewe ni Tapeli
Acha ushamba, kama huuzi picha umeweka za nini?? Usiwe jinga..weka Picha halisi ya Bidhaa watu tuitambue katika muonekano halisi,, sio kudownload picha mitandaoni.Akili mgando!! Kwani nauza picha hapa?? Na nakutapeli vipi wakati inabidi uione mashine kwanza uridhike ndo tufanye biashara?