SakaroMbulu
Member
- May 23, 2018
- 12
- 3
Usihukumu kampuni yote kwa kuona dosari kwenye tablet yako.Hii kampuni Nina tablet yake ni ya hovyo kabisa. Yaan inachagua apk za kuninstall. Mfano jf na YouTube zimekataa kabisa yaan loh
Sent using Jamii Forums mobile app