C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,592 Aug 11, 2017 #1 ...
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Aug 11, 2017 #2 Hiyo bei nakushauri nenda Kenya,maana bado wana mabaki ya pesa za uchaguzi lakini kwa hapa Tz,sina hakika kama yupo anaweza kulipa 1.5M kwa decive hiyo!! Kila la heri!!
Hiyo bei nakushauri nenda Kenya,maana bado wana mabaki ya pesa za uchaguzi lakini kwa hapa Tz,sina hakika kama yupo anaweza kulipa 1.5M kwa decive hiyo!! Kila la heri!!
black chinese JF-Expert Member Joined Aug 1, 2016 Posts 1,148 Reaction score 1,228 Aug 11, 2017 #3 1.5m kwa sababu ya kuzunguka tu au kuna kipi kipya ambacho hakipo kwenye hizi laptop tunazonunua kwa 350k?!.. Sent using Jamii Forums mobile app
1.5m kwa sababu ya kuzunguka tu au kuna kipi kipya ambacho hakipo kwenye hizi laptop tunazonunua kwa 350k?!.. Sent using Jamii Forums mobile app