asalam aleykum,taarifa ya kufunguliwa kwa saccos ya kiislam mjini songea.nia kubwa ya saccos hii ya kutayba,nikutoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kiislamu.mikopo ambayo haita kuwa na riba.kwawale wakazi wa songea ofisi ipo mtaa wa zanzibar.