AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Jul 4, 2026 #1 Mtandao wa Airtel umekuwa wa shida sana leo yupo mwendo wa kobe yani upo chini sana Shida ni nini ? Na kuna mtu naye anapata changamoto hii?
Mtandao wa Airtel umekuwa wa shida sana leo yupo mwendo wa kobe yani upo chini sana Shida ni nini ? Na kuna mtu naye anapata changamoto hii?