Leo Arsenal HAFUNGWI, Madrid INASHINDA, Ronaldo atakuwa MAN OF THE MATCH, mechi ya ARSENAL na CHELSEA kuna uwezekano wa RVP kutengeneza rekodi nyingine leo! Barca na Madrid je hii ni mechi yao ya mwisho kwa msimu huu au pre meeting ya UEFA CHAMPIONSHIP CUP? Ngoja tusubiri
Mechi za Barca-R.Madrid hazitabiriki, lakini kama tukiangalia historia yao ya karibuni, tangu Mou kujiunga na Real, ameshapambana na Gardiola mara 10, na ameshinda moja tu. Kwa hivyo uwezekano ni kwa ama Barca kuendeleza ubabe na kushinda (nitaumia kwani mimi ni mpenzi wa Real) au kutoka sare. Real ikishinda itakuwa imekataa kugeuzwa kichwa cha mwendawazimu.kwa arsenal sidhani ila madrid i hope leo watafanya kweli