#COVID19 Leo askofu Gwajima ataongoza mjadala kuhusu Chanjo ya Corona utakaohusisha Wanasayansi bingwa duniani akiwemo mtengenezaji!

Fools
 
Ndiyo maana wazungu wanatuona manyani,yeye Gwajima anachanjo gani aliyoigundua ili waipime ubora,


Tapeli asiye mwanasayansi anafanya mahojiano na wanasayansi?
Umetapeliwa nini?
 
Ndiyo maana wazungu wanatuona manyani,yeye Gwajima anachanjo gani aliyoigundua ili waipime ubora,


Tapeli asiye mwanasayansi anafanya mahojiano na wanasayansi?
Tena manyani ya majaribio hahaha... bora Gwajima katutetea.
 
Akumbushwe tu kuwa binadamu tunapaswa kupenda kumtukuza Mungu na sio kutukuzwa sisi. Malipo ya hili ni mazito.
 
Hivi unaendeshaje mjadala wa wanasayansi na watafiti nguli wa sekta ya afya wakati huna hata cheti cha unesi, hivi unakuwa na idea yoyote ya nini watu wanatakiwa wakijadili na kukielewa? au ndo anatafuta loophole ya kujiondoa kwenye malumbano ya chanjo kwa kisingizio kwamba umeridhika na ufafanuzi wa wataalamu walioshiriki kwenye mjadala......
 
Professor Sheikh Presiding Bishop Rashid (MP, PhD)
 
Wakuu naomba kuuliza... Nimesikia kuna wimbi la nne linakuja na kwa wenzetu jirani nmeskia leo kwenye chombo kimoja kuwa kimeaza.
1) je kutakuwa na chanjo yake nyingine? Kama itakuwepo chanjo nyingine je tutachoma ngapi kam vnaendelea??
2)kama ni kinga hiyo moja why linakuwa wimbi la pili na la tatu....
3)je virus tofauti vinaweza kuzuiliwa kwa chanjo ya aina moja?? Maana nasikia wanasema vnapunguza nguvu za kiume hivi vya wimbi la nne. Kuna uhusiano wa upumuaji na hizi nguvu za kazi?? Mwenye uelewa..... πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
 
Chanjo ni ile ile ila uta boost!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…