Leo channel ipi ya king'amuzi cha azam tv nitaona Uefa leo

hivi kwa DSTV kifurushi cha BOMBA kuna channel yoyote inayoonesha mechi za UEFA?
 
VIP jamani kwani dstv hua sh ngap nami napata wakati mgumu kucheki mechi kama hz
 
bar huwa sio mpira tu tunafuata bia je na wale wapiga kelele itabidi muangalie naye na ate ushirikiano
 
shida ya hiyo chanel wanaweza kuja chui wawili wakafanya yao pale ikawa bora uende bar. the bad part is they do it repeatedly.
Kwa vile atakuwa na mke wake,itakuwa ni nafasi nzuri kuwaona hao ‘Machui’ wakifanya yao
 
ktn wanaonyesha porti vs liverpool kwahiyo nenda na shemu tu ndugu. na siku yenyewe ya wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…