Leo dirisha Kubwa la usajili linafungwa saa sita usiku. Vipi Feitoto bado anaenda Simba?

Ndiyo maana Mwenyekiti mstaafu aliwaita mbumbumbu mashabiki na wanachama. Maana anawafahamu fika. Huwa wenyewe wanaamini kila kitu unacho waambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…