Leo dollar moja ya Marekani imesimama 2700 kwa shilingi ya Tanzania, tumekosea wapi kama taifa?

Leo dollar moja ya Marekani imesimama 2700 kwa shilingi ya Tanzania, tumekosea wapi kama taifa?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?

Screenshot_20240830-171629.png
 
Sasa nchi imekuwa jalala la bidhaa za kichina, hadi chupi tunaagiza kutoka china. Tenda za miradi mikubwa wamechukua wachina na mataifa ya ulaya kwa nini shilingi ya Tanzania isishuke. Sasa hivi kila anayekuza mtaji anataka aende china kufunga mzingo, hapo poromoko litaendelea sana kutokea.
 
Wenye Bureau de change wanajua Kwa Nini Dolla inapanda...!

Na Wachina wanajua Kwa Nini Dolla inapanda...!
 
Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi adhari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
Achana na hio bei, nenda bureau de change kama 5 hv upate quote kisha piga avg, af nenda kwa wazee wa dark market kkoo ndan ndan wakupe rate ndo utajua haujui
 
Nimeshuhudia leo msafara wa Mwenge nikasema haya mamilion wanamwaga hapa dah 🤔gari kama zote nikawa najiambia per diem ya hapa mafuta, vyakula 200M naa
Afu kuna mtu utasikia kabka ya kuilamu serikali jieleze umeisaidia vip yani watu wazima wamekaa kwenye uongoz wanachukua pesa wanachoma nyama wanakimbiza mwenge wanapa funfu vyombo vya habari kuvipa airtime ujinga wao then eti niseme mefanyia nn taifa langu km viongozi tu wanafanya matumiz uncessary
 
Back
Top Bottom