Leo hapa mbona sio hot hot mmefulia??

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Semeni tu kama kuna mtu kapewa talaka tutasuruhisha
Kama kuna mtu bado anashindwa kutongoza tutamfundisha
kama kuna mtu anatafuta mchumba wapo wamejaa tele
Kama ndoa zina migongano wapo wataalam
Kama mmefulia tutatafuta namna mbadala ya kusaidia....
Kama bar zote zimefungwa sababu ya Easter ....hapa no msaada

Matatizo yote semeni yatapata ufumbuzi ni saa sita kasorobo nasikia usingizi
 
i see!
 
Shem langu, muda huu usingizi tena?...Usinambie nanihino karudi tayari!
 
hahaaaa wewe matironi huoni weweeee
hali ya hewa ni ya mawingu mawingu saaaana
 
Ha hahha haa,FL unajua kuchokoza watu

Haya mimi hapo pa kutafuta mchumba ndo umegusa penyewe
 
hahaaaa wewe matironi huoni weweeee
hali ya hewa ni ya mawingu mawingu saaaana

bestlady ni mawingu na mvua za hapa na pale .. hakuko shwari hata kidogo ...
 
Ha hahha haa,FL unajua kuchokoza watu

Haya mimi hapo pa kutafuta mchumba ndo umegusa penyewe

Ben kumbe uko single ..?.mbona point zako kama ushajitwalia mwana long ago ngoja!
 
Hapo tu ndipo uliponiudhi! Hapo tu.
Sijui nikairimuvu ile senksi?
 
Ben kumbe uko single ..?.mbona point zako kama ushajitwalia mwana long ago ngoja!

Haha haa,

FL1, ilibidi poit ziwe kama nishajitwalia ili nipate mawaidha ya kiutu uzima,ni strateggy tu Dada,lol
 
Kama hela imepungua kwenye mifuko semeni pia.. tutasaidiana humu humu
 
Kazi ipo............................... "Kumbukeni Kwaresima"
 
Nakumbuka sana ule wimbo wa mambo jambo especially ile sehemu anapogani ati "mbona masela wangu siku hizi siwahoni?"
 

Wachumba wako wapi FL1 mbona mimi siwaoni?nawatafuta.
 


kiranja mkuu ametaka afundishwe kutumie shanga mbona mmeshindwa kumpa shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…