Leo Harambee stars wamewafuata Watanzania kuwapa kichapo nyumbani kwao

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Itakua aibu ya kufa mtu, watani wetu tuliwagaragaza kule Misri, leo pia wanapokea kichapo tena kwao nyumbani uwanja wa taifa.
Labda waitwe warogi wa Sumbawanga waje kufanya yao.
 
Itakua aibu ya kufa mtu, watani wetu tuliwagaragaza kule Misri, leo pia wanapokea kichapo tena kwao nyumbani uwanja wa taifa.
Labda waitwe warogi wa Sumbawanga waje kufanya yao.
Kumbe mnarogeka..!!
 
Wao wamejilipua kipindi cha 2 kama kawaida acha tuone kama kwenu mtaingia kwa kulinda hivihivi
 
Hilo lako mwenyewe sisi wana demokrasia tusilazimishane mimi kwangu ni timu ya taifa

Siku democrasia itafanikiwa Timu ikawa ya watanzania wote sio ccm wala makonda

Ushindi ni 100%

Huwezi shinda kinafiki
 
Siku democrasia itafanikiwa Timu ikawa ya watanzania wote sio ccm wala makonda

Ushindi ni 100%

Huwezi shinda kinafiki
Sawa sisi nchi ya demokrasia tunasema ameen hayo ni maombi yako pia kwa miungu yako
 
Itakua aibu ya kufa mtu, watani wetu tuliwagaragaza kule Misri, leo pia wanapokea kichapo tena kwao nyumbani uwanja wa taifa.
Labda waitwe warogi wa Sumbawanga waje kufanya yao.
Hivi Sumbawanga ni maarufu hadi huko Kenya?
 
Wameshafika hao si walikua wanazunguka kusaka mahindi na waganga wa tz
Mabango ya wanganga kutoka Sumbawanga na Tanga yametapakaa Kenya. Ndio image ambayo wakenya wanayo wakisikia jina Tz.
Hivi Sumbawanga ni maarufu hadi huko Kenya?
Unauliza wakati mpo proud sana kujitangaza? Hata mkenya ambaye hajatia mguu wake Tz anajua kuhusu wanganga kutoka Sumbawanga na Tanga. Waganga wenu wana hadi dawa ya kujiunga na freemason, na ilumminati! [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…