Mabango ya wanganga kutoka Sumbawanga na Tanga yametapakaa Kenya. Ndio image ambayo wakenya wanayo wakisikia kuhusu Tz.
Unauliza wakati mpo proud sana kujitangaza? Hata mkenya ambaye hajatia mguu wake Tz anajua kuhusu wanganga kutoka Sumbawanga na Tanga. Waganga wenu wana hadi dawa ya kuingia freemason na ilumminati! [emoji38]